Karibuni Kikaoni!

Karibuni kwenye Blogu ya Mtanzania Halisi!

Hii ni Blogu ambayo itaanzisha mjadala endelevu, kuhusu mustakabali wa Watanzania, kisiasa, kijamii na kiuchumi, pamoja na kwenye ulingo wa Sayansi na Teknolojia.

Mnakaribishwa kuandika makala za kuchochea mijadala endelevu, hata kama mijadala hiyo itawagusa baadhi ya wadau; semeni wazi wazi bila woga! Huu ndio msingi wa Blogu hii.

Kwa wale wenye taarifa za ufisadi na hawataki majina yao yatokee humu ndani, wanaweza kunitumia mimi taarifa hizo na nikazipost humu ndani. Nitawaelezeni baadaye jinsi ya kutuma taarifa hizo.

Karibuni Kikaoni!

Mtanzania Halisi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s